RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU

RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU
kiungo : RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU

soma pia


RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU

Wazazi wanaoshindwa kuwapeleka watoto kupata huduma za chanjo wanakiuka haki za binadamu hasa haki ya kuishi na pia wanaenda kinyume na juhudi za serikali za kupambana na maradhi, umaskini na ujinga.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi amesea hayo katika hotuba yake iliyosomwa na Mwakilishi wake Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo uliofanyika mapema leo katika hospitali ya Sokoine Manispaa ya Singida.

Dkt. Nchimbi amesema watoto wote wenye umri wa chini ya miaka mitano wanapaswa kupata chanjo zote ili kuwakinga na magonjwa ya homa ya ini, surua, nimonia, kuhara, kifua kikuu, na pepopunda ambayo yanazuilika kwa chanjo na motto akiugua kupona ni nadra

“Mtoto akiumwa magonjwa hayo kwa kukosa chanjo kupona ni majaliwa na akipona anaweza kupata ulemavu wa kudumu, hivyo nawasisitiza msipuuze mzingatie kukamilisha chanjo zote” amesisita

Ameongeza kuwa serikali imekamilisha wajibu wake kwa kuhakikisha chanjo zote zinapatikana na hivyo umebaki wajibu wa kila mzazi na mlezi kuhakikisha motto anapata chanjo pamoja na kuwaelimisha na kuwafichua wale wasiowapeleka watoto kupata chanjo.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo akitoa chanjo kwa mtoto wa umri wa siku nne ikiwa ni uzinduzi wa wiki ya chanjo Mkoani Singida mapema leo katika hospitali ya Sokoine manispaa ya Singida.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo akifurahi mara baada ya kutoa chanjo kwa mtoto wa umri wa siku nne ikiwa ni uzinduzi wa wiki ya chanjo Mkoani Singida mapema leo katika hospitali ya Sokoine manispaa ya Singida.
Baadhi ya wazazi wakiwa na watoto wao waliojitokeza katika hospitali ya Sokoine Manispaa ya Singida wakishiriki uzinduzi wa wiki ya chanjo Mkoani Singida.



Hivyo makala RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU

yaani makala yote RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/rc-nchimbi-abainisha-kushindwa-kumpatia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU"

Post a Comment