Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite

Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite
kiungo : Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite

soma pia


Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite

Mwenyekiti wa kamati iliyotathmini mfumo wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa madini ya tanzanite, Dotto Biteko amesema Spika wa Bunge, Job Ndugai hakuwaingilia walipokuwa wakitekeleza majukumu yao.

Biteko amesema leo Septemba 7 kuwa, Spika aliwapatia ushirikiano waliouhitaji ili kufanikisha jukumu lao.

Amesema hayo wakati wa kukabidhi ripoti kwa Rais John Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam.

“Katika mchakato mzima, Spika hakutuingilia hata kidogo na endapo ripoti zetu zitakuwa na udhaifu basi ni wa kwetu na si wa Spika,” amesema Biteko.

Amesema mfumo wa uchimbaji wa madini ya tanzanite ni dhaifu kiasi kwamba Serikali inanufaika na asilimia nne tu ya madini yote yanayochimbwa.

“Madini yaliyochimbwa tangu mwaka 1998 yana thamani ya zaidi ya Sh8.2 trilioni lakini katika fedha hizo, Serikali imenufaika na asilimia nne tu,” amesema.


Hivyo makala Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite

yaani makala yote Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/biteko-amkingia-kifua-spika-ndugai.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Biteko Amkingia Kifua Spika Ndugai Sakata la Madini ya Tanzanite"

Post a Comment