title : WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA VIONGOZI KUJADILI MASUALA YA JESHI LA MAGEREZA
kiungo : WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA VIONGOZI KUJADILI MASUALA YA JESHI LA MAGEREZA
WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA VIONGOZI KUJADILI MASUALA YA JESHI LA MAGEREZA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya Jeshi la Magereza baada ya kukutana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira (kushoto) na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Dk . Juma Malewa.Kikao hicho kimefanyika leo ofisi ya wizara,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira (kushoto) na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa(kulia), wakimsikiliza Waziri wa wizara hiyo, Dk. Mwigulu Nchemba walipokutana kujadili masuala ya jeshi hilo. Kikao hicho kimefanyika leo ofisi ya wizara,jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira, akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa (kulia), wakati wa kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya jeshi hilo.Kikao hicho kimefanyika leo ofisi ya wizara,jijini Dar es Salaam.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hivyo makala WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA VIONGOZI KUJADILI MASUALA YA JESHI LA MAGEREZA
yaani makala yote WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA VIONGOZI KUJADILI MASUALA YA JESHI LA MAGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA VIONGOZI KUJADILI MASUALA YA JESHI LA MAGEREZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-mwigulu-akutana-na-viongozi.html
0 Response to "WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA VIONGOZI KUJADILI MASUALA YA JESHI LA MAGEREZA"
Post a Comment