title : WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA FIFA 2017 WATAJWA
kiungo : WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA FIFA 2017 WATAJWA
WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA FIFA 2017 WATAJWA
Mwambawahabari
Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limewataja wachezaji 24 wakiume watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa FIFA na wachezi 10 kwa upande wa soka la wakike, huku zoezi hilo likiendeshwa na Makocha wa timu za mataifa mbalimbali Duniani, Manahodha, Waandishi wa habari pamoja na Washabiki wa soka. Zoezi la kupiga kura ili kumpata mwanandinga huyo bora wa FIFA linatarajiwa kuanza Jumatatu Agosti 21 na kufungwa Septemba 7, 2017.
wachezaji 24 waliotajwa kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa FIFA 2017 kwa upande wa wanaume ni hawa hapa.
Hawa ndiyo wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa FIFA 2017 kwa upande wa wanawake.
Hivyo makala WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA FIFA 2017 WATAJWA
yaani makala yote WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA FIFA 2017 WATAJWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA FIFA 2017 WATAJWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wachezaji-wanaowania-tuzo-ya-fifa-2017_19.html
0 Response to "WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA FIFA 2017 WATAJWA"
Post a Comment