WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM

WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM
kiungo : WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM

soma pia


WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM

Wadau wa Ukanda wa Kati (Central Corridor) wametembelea bandari ya Dar es Salaam ili kuona namna inavyoendesha shughuli zake pamoja na kupatiwa taarifa ya mipango iliyopo ya kuboresha zaidi huduma zinazotolewa bandarini hapo.
Akizungumzia ziara hiyo, Katibu Mtendaji wa Ukanda wa Kati, Kepteni Dukundane Dieudonne alisema wametembelea bandari baada ya kufanya kikao cha siku mbili na kupokea ripoti ambayo inaelezea utendaji kazi wa bandari hyo ambayo iliwarishidha hivyo wakaona ni vyema kufika bandarini ili kuona utendaji wake.
“Tuna furaha kukaribishwa katika bandari ya Dar es Salaam, tuna furaha ya kuona mambo mengi ambayo bandari inafanya ili kutoa huduma kamilifu kwa wadau wote wa Ukanda wa Kati,” alisema Dukundane na kuongeza.
“Tunaipongeza TPA kwa mafanikio mazuri na tumeona mzigo umeongezeka katika bandari hii, wale waliokuwa wanasema wateja wamehama hiyo sio kweli tumeona wadau wengi wamerudi bandari ya Dar es Salaam.”
Naye Mkurugenzi wa Wadau wa Ukanda wa Kati, Desire Hishamunda aliipongeza hatua zinazochukuliwa na TPA ili kuboresha huduma bandarini hapo na kutaka hatua zaidi ziendelee kuchukuliwa ikiwa na pamoja na kuongeza kasi ya utoaji huduma ili meli ziwe zinashusha mzigo kwa haraka na usafirishwe kwenda kwenye nchi zinazopitisha mizigo hapa nchini.
Wadau wa Ukanda wa Kati waliotembelea bandari ya Dar ni kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Burundi, Rwanda na Uganda.Kaimu Mkurugenzi Masomo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), Lydia Mallya akizungumza jambo na ujumbe wa wadau wa Ukanda wa Kati uliotembelea bandari ya Dar es Salaam walipotembelea mabanda ya maonesho yao.Afisa wa TPA akitoa maelezo kuhusu wiki ya TPA kwa ujumbe wa wadau wa Ukanda wa Kati uliotembelea bandari ya Dar es SalaamKaimu Mkurugenzi Masomo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), Lydia Mallya akitolea ufafanuzi kuhusu TPA upanuzi bandali ili kuboresha huduma ambazo zinatolewa bandarini hapo kwa wadau wa Ukanda wa Kati waliotembea bandari hiyo. Kaimu Mkurugenzi Masomo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), Lydia Mallya  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Wadau wa Ukanda wa Kati (Central Corridor) kutembelea banadari ya Dar es Salaam ili kuona namna inaendesha shughuli zake pamoja na kupatiwa taarifa mipango iliyopo ya kuboresha zaidi huduma zinazotolea banadarini hapo.Katibu Mtendaji wa Ukanda wa Kati, Kepteni Dukundane Dieudonne akizungumza na waandishi wa habari mara baada Wadau wa Ukanda wa Kati (Central Corridor) kutembelea banadari ya Dar es Salaam na kujionea ufanisi wa bandari hiyo.Mkurugenzi wa Wadau wa Ukanda wa Kati, Desire Hishamunda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kujionea hatua zilizochukuliwa na TPA ili kuongeza kasi ya utoaji huduma ili meli ziwe zinashusha mzigo kwa haraka na usafirishwe kwenda kwenye nchi zinazopitisha mizigo hapa nchini.


Hivyo makala WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM

yaani makala yote WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/wadau-wa-ukanda-wa-kati-watembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WADAU WA UKANDA WA KATI WATEMBELEA BANDARI DAR ES SALAAM"

Post a Comment