title : UN YAZUNGUMZA NA VIJANA WA TEMEKE KUHUSU MALENGO YA MILENIA
kiungo : UN YAZUNGUMZA NA VIJANA WA TEMEKE KUHUSU MALENGO YA MILENIA
UN YAZUNGUMZA NA VIJANA WA TEMEKE KUHUSU MALENGO YA MILENIA
--
Ofisa kutoka Idara ya Mawasiliano ya Umoja wa Mataifa Tanzania ,Didi Nafisa akizungumza na Vijana wa Mtandao wa Vijana Temeke(TEYODEN), Juu ya Malengo ya Milenia kwa vijana na mambo yaliyopewa vipaumbele katika malengo hayo
Katibu mkuu wa Mtandao wa Vijana Temeke(TEYODEN),Yusufu Kutegwa akizungumza juu ya namna Mtandao huo unavyofanya kazi kusaidia Vijana
Baadhi ya Vijana walioshiriki Mkutano Huo wakisikiliza kinachozungumzwa kutoka kwa watoa mada
Balozi wa Malengo ya Dunia kwa Vijana kutoka chuo cha Uhasibu Arusha ,Gloria Nassary akizungumza na Vijana wa Temeke juu ya Vipaumbele vitano vya Kibinadamu katika Malengo ya Milenia
Balozi wa Malengo ya Dunia kwa Vijana kutoka chuo cha Mtakatifu Agustino ,Julius Kitingati akieleza namna Vijana wanavyoweza kufanikisha malengo hayo kwa Sera ya Viwanda hapa nchini
Sehemu ya Viana walioshiriki katika mkutano huo ulioandaliwa na TEYODEN Kwa kushirikiana na umoja wa Mataifa
Hivyo makala UN YAZUNGUMZA NA VIJANA WA TEMEKE KUHUSU MALENGO YA MILENIA
yaani makala yote UN YAZUNGUMZA NA VIJANA WA TEMEKE KUHUSU MALENGO YA MILENIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UN YAZUNGUMZA NA VIJANA WA TEMEKE KUHUSU MALENGO YA MILENIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/un-yazungumza-na-vijana-wa-temeke.html
0 Response to "UN YAZUNGUMZA NA VIJANA WA TEMEKE KUHUSU MALENGO YA MILENIA"
Post a Comment