KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA

KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA
kiungo : KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA

soma pia


KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA

Uongozi wa klabu ya Mtibwa Sugar umesema utakaa faradha na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kuona namna gani wanaweza wakapata nafasi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kwa mujibu wa taarifa zilizokuja kutoka CAF, zimeeleza kuwa Mtibwa wanapaswa kulipa faini ya dola za kimarekani 1500 ili wapate nafasi hiyo, sambamba na gharama za fidia kwa klabu ya Santos inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa Msemaji wa klabu hiyo, Thobias Kifaru, amefunguka na kusema watafanya mazungumzo na TFF ili kuweza kumaliza tatizo kwa namna yoyote ile ili waweze kupata nafasi hiyo ya ushiriki.

Kifaru ameeleza kuwa kinachotakiwa hivi sasa ni kuzungumza na TFF ili kuweza kufikia mwafaka akiamini atapata msaada kinagaubaga ili wapate fursa hiyo adhimu ya kuweza kushiriki mashindano hayo makubwa.

Ikumbukwe Mtibwa ilipewa adhabu ya kutoshiriki michuano ya CAF kwa miaka mitatu katika ngazi ya klabu baada ya kushindwa kusafirisha timu kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya Santos.


Hivyo makala KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA

yaani makala yote KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/karakasi-mtigwa-kushiriki-michuano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KARAKASI MTIGWA KUSHIRIKI MICHUANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA"

Post a Comment