title : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA TAARIFA YA MAFANIKO YAKE YA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2017|2018
kiungo : SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA TAARIFA YA MAFANIKO YAKE YA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2017|2018
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA TAARIFA YA MAFANIKO YAKE YA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2017|2018
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya mafanikio ya kiutendaji wa shirika hilo, kwa mwaka 2017\2018, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika, Hassan Mwang'ombe.
Baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika mkutano huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, alipokuwa akitoa taarifa ya mafaniko ya kiutendaji wa shirika kwa mwaka 2017/2018, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, alipokuwa akitoa taarifa hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa taarifa hiyo, ya mafanikio ya kiutendaji wa shirika hilo, kwa mwaka 2017\2018, jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Dk. Haruni Kondo, akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari, katika mkutano huo, wa kutoa taarifa ya mafanikio ya kiutendaji wa shirika hilo, kwa mwaka 2017\2018, jijini Dar es Salaam leo.
Hivyo makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA TAARIFA YA MAFANIKO YAKE YA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2017|2018
yaani makala yote SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA TAARIFA YA MAFANIKO YAKE YA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2017|2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA TAARIFA YA MAFANIKO YAKE YA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2017|2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/shirika-la-posta-tanzania-tpc-latoa_5.html
0 Response to "SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA TAARIFA YA MAFANIKO YAKE YA KIUTENDAJI KWA MWAKA 2017|2018"
Post a Comment