title : TIB CORPORATE YAENDESHA JUKWAA LA BIASHARA JIJINI TANGA YAJIPAMBANUA JINSI INYO TOA HUDUMA ZAKE.
kiungo : TIB CORPORATE YAENDESHA JUKWAA LA BIASHARA JIJINI TANGA YAJIPAMBANUA JINSI INYO TOA HUDUMA ZAKE.
TIB CORPORATE YAENDESHA JUKWAA LA BIASHARA JIJINI TANGA YAJIPAMBANUA JINSI INYO TOA HUDUMA ZAKE.
MwambawahabariTheresia Soka mkuu wa Masoko na MahusianoTIB Corporate Bank, akizungumza na washiriki wa jukwaa la biashara linalofanyika Jijini Tanga, hawapo pichani.
Frank Nyabubange Mkurugenzi mkuu wa TIB Corporate Bank akizungumza katika mkutano , washiriki wa jukwaa la biashara Tanga hawapo pichani
Wakwanza kulia ni Mgeni rasmi wa jukwaa la Biashara Waziri wa Habari utamaduni sanaa na Michezo mhe. Dr Harson Mwakyembe Wa pili kushoto Ni Dr Jimmy Yonazi MD WA TSN wanne kushoto Ni Frank Nyabundege - MD WA TIB Corporate Bank ,Wa kwanza kushoto Thobias mwilapwa - mkuu Wa wilaya ya Tanga na wa tatu kulia na kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa TIB Corporate Bank Theresia Soka. wakiwa katika picha mara baada ya kupokea mgeni Rasmi.
Mwambawahabari
TIB Corporate Bank (TIB CBL) Leo Tupo Tanga Katika Jukwaa la Biashara ,Jukwaa hili linakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo ili kujadili na kuona namna gani Kila mmoja anawezesha mkoa wa Tanga Katika kuleta maendeleo.
TIB Corporate Bank ni benki ya Biashara na inatoa Huduma zote za kibenki. Kwa kutambua fursa mbalimbali KTK Mkoa wa tanga, benki inajiweka sawa ili kuhakikisha huduma za kibenki zinawafikia wana Tanga.tunambua Kuwa maendeleo yoyote Yale ya kibiashara na viwanda yanahitaji uwezeshwaji wa kifedha (bank facilities).
TIB Corporate Bank inatoa Huduma mbalimbali kutokana na mahitaji ya Mteja.Baadhi ya Huduma hizo ni pamoja na akaunti mbalimbali za kwa makampuni na Watu binafsi,mikopo ya aina mbalimbali ya muda mfupi na muda wa kati,dhamana za kibenki( bank guarantee),ununuaji na uuzaji wa fedha za kigeni,uwekezaji katika hati fungani,( treasury bills & Bonds), ukusanyaji wa fedha na kuwezesha malipo ya jumla kwa makampuni (cash management ) pamoja na ulipaji wa mishahara kwa Njia rahisi na haraka
Huduma zetu hutolewa kwa umahiri na ufanisi mkubwa ili kuhakikisha Mteja anafurahia mahusiano yake na benki.Pia Huduma ya Premier Banking kwa wateja wanaopenda kujitofautisha zaidi.
Hivyo makala TIB CORPORATE YAENDESHA JUKWAA LA BIASHARA JIJINI TANGA YAJIPAMBANUA JINSI INYO TOA HUDUMA ZAKE.
yaani makala yote TIB CORPORATE YAENDESHA JUKWAA LA BIASHARA JIJINI TANGA YAJIPAMBANUA JINSI INYO TOA HUDUMA ZAKE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIB CORPORATE YAENDESHA JUKWAA LA BIASHARA JIJINI TANGA YAJIPAMBANUA JINSI INYO TOA HUDUMA ZAKE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tib-corporate-yaendesha-jukwaa-la.html
0 Response to "TIB CORPORATE YAENDESHA JUKWAA LA BIASHARA JIJINI TANGA YAJIPAMBANUA JINSI INYO TOA HUDUMA ZAKE."
Post a Comment