title : MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA SIKOSELI VIWANJA VYA MWEMBAYANGA
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA SIKOSELI VIWANJA VYA MWEMBAYANGA
MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA SIKOSELI VIWANJA VYA MWEMBAYANGA
Picha ya pamoja ikiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na watoto wenye sikoseli baada ya matembezi yaliyofanyika mapema leo katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es salaam.
Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la vyama vya Sikoseli Tanzania Dkt. Deo Soka akimweleza jambo Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu baada ya matembezi ya siku ya sikoseli katika viwanja vya Mwembeyanga.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (wakatikati) akiwa katika matembezi ya siku ya Sikoseli, kushoto kwake ni mwakilishi wa WHO na kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaviva Siku ya sikoseli Duniani huazimishwa Juni 19
Wadau wa sikoseli wakiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kunyoosha viungo baada yakumaliza matembezi ya Km 3 ambayo yalikomea katika viwanja vya Mwembeyanga.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo mbele ya Wananchi waliojitokeza katika viwanja vya Mwembeyanga na Wadau wa Sikoseli wakati wa matembezi ya siku ya Sikoseli ambayo kauli mbiu yake ni *Kuwa mjanja, Ijue Sikoseli*
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA SIKOSELI VIWANJA VYA MWEMBAYANGA
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA SIKOSELI VIWANJA VYA MWEMBAYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA SIKOSELI VIWANJA VYA MWEMBAYANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/matukio-katika-picha-matembezi-ya.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA SIKOSELI VIWANJA VYA MWEMBAYANGA"
Post a Comment