title : MAWAKILI WAGOMEA AGIZO LA BARAZA LA CHAMA CHA MAWAKILI LILILOTOLEWA KUPITIA RAIS WAKE TUNDU LISSU
kiungo : MAWAKILI WAGOMEA AGIZO LA BARAZA LA CHAMA CHA MAWAKILI LILILOTOLEWA KUPITIA RAIS WAKE TUNDU LISSU
MAWAKILI WAGOMEA AGIZO LA BARAZA LA CHAMA CHA MAWAKILI LILILOTOLEWA KUPITIA RAIS WAKE TUNDU LISSU
Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shughuli zao za Uwakili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam mapema leo licha ya kuwepo kwa Agizo kutoka baraza la Chama cha Mawakili nchini (TLS) lililotolewa na Rais wa chama hicho, Tundu Lisu kuwataka Mawakili wote nchini kususia shughuli za Mahakama kwa muda wa siku Mbili (Jumanne na Jumatano), baada ya kutokea Milipuko katika Ofisi za Mawakili za IMMMA ADVOCATES zilizopo upanga jijini Dar es salaam, inayodaiwa kulipuliwa na watu wasiojulikana mapema.
Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shunghuli zao za Uwakili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo
Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shunghuli zao za Uwakili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo
Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shunghuli zao za Uwakili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo .
Hivyo makala MAWAKILI WAGOMEA AGIZO LA BARAZA LA CHAMA CHA MAWAKILI LILILOTOLEWA KUPITIA RAIS WAKE TUNDU LISSU
yaani makala yote MAWAKILI WAGOMEA AGIZO LA BARAZA LA CHAMA CHA MAWAKILI LILILOTOLEWA KUPITIA RAIS WAKE TUNDU LISSU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAWAKILI WAGOMEA AGIZO LA BARAZA LA CHAMA CHA MAWAKILI LILILOTOLEWA KUPITIA RAIS WAKE TUNDU LISSU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mawakili-wagomea-agizo-la-baraza-la.html
0 Response to "MAWAKILI WAGOMEA AGIZO LA BARAZA LA CHAMA CHA MAWAKILI LILILOTOLEWA KUPITIA RAIS WAKE TUNDU LISSU"
Post a Comment