title : Siku nikifa wanaonichukia wataomba msamaha kwenye jeneza- Steve Nyerere
kiungo : Siku nikifa wanaonichukia wataomba msamaha kwenye jeneza- Steve Nyerere
Siku nikifa wanaonichukia wataomba msamaha kwenye jeneza- Steve Nyerere
Mchekeshaji Steve Nyerere mwenye vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali za viongozi ,amefungua akisema kuwa siku akifa wanao mchukia hawataamini na watamuomba msamaha akiwa kwenye jeneza.
Steve kupitia ukurasa wake wa Instagram, alitupia picha za watu mbalimbali wakiwemo mastaa akisema siku akifa watatamani kumuomba msamaha lakini haitakuwa na maana.
Aliweka picha hii kwenye ujumbe huo
“Siku nikifa najua hata wanaonichukia hawataamini, wataniomba msamaha nikiwa kwenye jeneza, lakini itakuwa haina maana, wangine watasema, dah tulimkosea sana na wangine watakuwa wamejifunza kitu kupitia mimi, siku nikifa…,”
Na Emmy Mwaipopo
Hivyo makala Siku nikifa wanaonichukia wataomba msamaha kwenye jeneza- Steve Nyerere
yaani makala yote Siku nikifa wanaonichukia wataomba msamaha kwenye jeneza- Steve Nyerere Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Siku nikifa wanaonichukia wataomba msamaha kwenye jeneza- Steve Nyerere mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/siku-nikifa-wanaonichukia-wataomba.html
0 Response to "Siku nikifa wanaonichukia wataomba msamaha kwenye jeneza- Steve Nyerere"
Post a Comment