title : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi.
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi.
Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi pamoja na Uongozi wa Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi Balozi Mohamed Mzale (kulia) alipokuwa akitoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango na Uongozi wa Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA alipokuwa akitoa ufafanuzi wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi pamoja na Uongozi wa Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA
Baadhi ya Wajumbe wa Uongozi wa Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA,wakifuatilia kwa makini maelezo mbali mbali yaliyotolewa katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi na Uongozi wa Mamlaka hiyo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-zanzibar-dkshein-azungumza-na_73.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi."
Post a Comment