DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO
kiungo : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO

soma pia


DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB Bw.Saleh Sadik (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)akiwa Mwenyekiti wa kikao cha Siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,(kulia) Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe,Mohamed Ramia Abdiwawa.
Kamishna wa Mapato ZRB Nd,Amour Hamil Bakari (katikati) akichangia wakati wa kikao cha siku moja kilichowajumuisha Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Mwenyekiti wa kikao hicho alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja, wengine (kulia) Naibu Kamisha wa ZRB Nd,Halima Shamte na (kushoto) Mhasibu Mkuu wa Serikali Mwanahija Almasi Ali.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Khamis Mussa (kulia) akitoa maelezo wakati wa kikao cha Siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,mweyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalis Salum Mohamed.
Mshauri wa Rais maswala ya Uwezeshaji Mhe. Abdulrahman Mwinyijumbe akichangia katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,mweyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kiliwajumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB. Picha na Ikulu, Zanzibar.


Hivyo makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO

yaani makala yote DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dkshein-azungumza-na-uongozi-wa-bodi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO"

Post a Comment