title : NEEC yaanika uwezeshaji kwa watakao tumia fursa za mradi wa bomba la mafuta
kiungo : NEEC yaanika uwezeshaji kwa watakao tumia fursa za mradi wa bomba la mafuta
NEEC yaanika uwezeshaji kwa watakao tumia fursa za mradi wa bomba la mafuta
Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) limejipanga kuanza kutekeleza kwa vitendo fursa zitakazotokana na ujenzi wa mradi mkubwa Bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleni Tanga kwa kuwaelimisha, kuwaonesha na kuwawezesha wananchi watakaotaka kuzitumia fursa hizo.
Mradi huo mkubwa uliosainiwa mwezi mei mwaka huu na kuwekwa jiwe la msingi hivi karibu na Rais John Magufuli na Yoweri Museveni wa Uganda unalenga kutoa fursa za kiuchumi kwa watanzania.
Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Bi Beng’i Issa alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwisho mwa juma, kwamba wamejipanga kuwaelimisha, kuwaonesha na kuwawezesha wananchi kuzitumia fursa za ujenzi wa maradi huo kuanzisha shughuli za kiuchumi.
“Tuejipanga vizuri katika kuwaelimisha, kuwaonesha fursa zitakazo kuwepo na kuwapa uwezesha kupitia mifukoa ya uwezeshaji 19,” serikai imeweka fedha katia mifuko hii hivyo waahitajika kuchagamikia,aliongeza kusema Bi. Issa.
Alisema ujenzi wa mradi huo unatarajiwa kutoa fursa za ajira 10,000 na baada ya hapo kutakuwa na ajira 1,000 kwa watanzania, na pia amezitaka Taasisi za elimu ya mafunzo ya ufundi stadi ikiwemo VETA kuendelea kuandaa vijana watakao endana na fursa za ujenzi huo.
Bi. Issa alizitaja shughuli za kiuchumi zinatarajiwa kuwepo katika mradi huo ni biashara za usafirishaji wa bidhaa na watu, ujenzi wa miundombinu mbalimbali, huduma za chakula, uuzaji wa bidhaa za chakula, ulinzi, uuzaji wa vifaa vya ujenzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Dkt. John Jingu wa pili kushoto akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumzia namna baraza litakavyo waelimisha wananchi kutumia fursa za mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga Tanzania, wa pili kulia Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Bi. Beng’i Issa, kushoto Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Hudua za Kifedha na Mikopo-UTT Microfinance PLC.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala NEEC yaanika uwezeshaji kwa watakao tumia fursa za mradi wa bomba la mafuta
yaani makala yote NEEC yaanika uwezeshaji kwa watakao tumia fursa za mradi wa bomba la mafuta Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEEC yaanika uwezeshaji kwa watakao tumia fursa za mradi wa bomba la mafuta mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/neec-yaanika-uwezeshaji-kwa-watakao.html
0 Response to "NEEC yaanika uwezeshaji kwa watakao tumia fursa za mradi wa bomba la mafuta"
Post a Comment