title : MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO
kiungo : MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO
MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO
Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko akitoa salamu za pole za Manispaa ya Ilala kwa wafiwa wakati wa msiba wa Mama yake Naibu Meya Omary Kumbilamoto.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akiwa katika majonzi wakati wa kumzika mama yake Mzazi Mwanaisha Omary katika makaburi yaliyopo kijijini kweao Kauzeni Wilaya ya Kisarawe mkoani pwani.
Katibu Tawala Wilaya ya Ilala, Edward Mpogoro akitoa salamu za pole za ofsi ya Mkuu wa Wilaya kwenye msiba wa mama yake Naibu Meya wa Manispaa hiyo , Omary Kumbilamoto.
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum,akitoa mawaidha wakati wa msiba wa Mama yake Naibu Meya
Waombolezaji wakiswalia mwili wa Marehemu Mama yake Naibu Meya wa Mwanaisha Omary Kumbilamoto katika ibada iliyofanyika nyumbani kwa Naibu Meya Vingunguti Dar es Salaam.
Hivyo makala MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO
yaani makala yote MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/meya-manispaa-ilala-aongoza-mazishi-ya.html
0 Response to "MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO"
Post a Comment