title : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, FERROSTAAL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, FERROSTAAL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, FERROSTAAL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mauricio Ramos Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Millicom International Service LLC (wanne kutoka kushoto)ambayo inamiliki Kampuni ya simu ya Tigo aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL kutoka nchini Ujerumani na Denmark Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa Denmark Einar Hebogard Jensen aliyeongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, FERROSTAAL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, FERROSTAAL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, FERROSTAAL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-magufuli-akutana-na-viongozi-wakuu.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, FERROSTAAL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment