Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afyakiungo :
Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya
Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza kwenye kikao cha Kamati ya Utendaji Baraza la Wafanyakazi ambacho kimefanyika leo katika hospitali hiyo. Kikao hicho kinajadili jinsi ya kuboresha huduma za afya zinazotolewa na MNH.
Baadhi ya wafanyakazi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Museru.
Mkurugenzi wa Fedha na Mipango, Gerald Jeremia akieleza mikakati ya kuboresha huduma za afya katika kurugenzi ya upasuaji pamoja na huduma nyingine.
Baadhi ya wafanyakazi wakimsikiliza Mkurugenzi wa Fedha na Mipango leo.
Mshauri Mwelekezi katika Masuala ya Mawasiliano, Dk. Henry Mambo akieleza mkakati wa mawasiliano ambao umeandaliwa kwa ajili ya kufikia malengo ya kutoa huduma bora.

Hivyo makala Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya
yaani makala yote Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/muhimbili-wajadili-mikakati-ya.html
Related Posts :
TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA
Na.Khadija Seif, Globu ya Jamiii.
Aliyewahi kuwa Msanii wa maigizo wa Kundi la Kaole Ramadhani Ditopile maarufu kama Mashaka amefariki dun… Read More...
WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI WAO KWA KIPINDI CHA MWEZI AGOSTI HADI OKTOBA, 2018
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara na Taasisi zake katika kikao cha kujadili m… Read More...
WAZIRI MKUU ATOA SIKU 25 KWA WATUMISHI CHAMWINO*Ni wale washio nje ya kituo, wawe wamehamia ifikapo Desemba 15
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwaametoa siku 25 kwa watumishi wa halmashauri ya w… Read More...
SERIKALI, ACACIA WASAINI HATI ZA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI SHINYANGA NA GEITAHalmashauri za Wilaya ya Msalala, Shinyanga (Shinyanga) Nyang'hwale (Geita), Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kupitia Wiza… Read More...
MAKAMU WA RAIS AZINDUA USHIRIKA WA MAMLAKA SACCOS ZANZIBAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali zote mbili, yaani ya Jamhuri ya Muungano wa Tan… Read More...
0 Response to "Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya"
Post a Comment