title : TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA
kiungo : TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA
TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA
Na.Khadija Seif, Globu ya Jamiii.
Aliyewahi kuwa Msanii wa maigizo wa Kundi la Kaole Ramadhani Ditopile maarufu kama Mashaka amefariki dunia mapema Leo asubuhi katika hospitali ya Amana jijini Dar es salaam.
Aidha marehemu Mashaka aliwahi kuonekana kwenye maigizo akishirikiana na waigizaji kama mama Ambiliki, Cheni, Kisa ,Zawadi akiwa ameshiriki maigizo kama fukuto,sayari, maisha na mingine mingi.
Akizungumza na wanahabari msanii mwenzie Zawadi amethibitisha kifo hicho na kwa sasa haijafahamika shughuli za msiba zitafanyika wapi.
Na mpaka sasa familia ya marehemu imekaa Kwenye kikao na watatoa taarifa kamili kuhusu maziko ya marehemu mashaka.
Innallillah wahina illah rajuun.
Hivyo makala TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA
yaani makala yote TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/tanzia-msanii-wa-maigizo-nchini-mashaka.html
0 Response to "TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA"
Post a Comment