MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI

MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI
kiungo : MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI

soma pia


MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI

Mwambawahabari



Kazi zinazo fanyika chini ya Mradi huu ni pamoja na ujenzi wa matenki tisa (9) ya kusambaza na kuhifadhi maji yenye ukubwa wa kuhifadhi lita milioni 3.0 hadi milioni 6.0, ujenzi wa vituo vinne (4) vya kusukuma maji, ununuzi na ufungaji wa Pampu kubwa za kusukuma maji 16, ununuzi wa transfoma na ufungaji njia za Umeme wa msongo mkubwa, ununuzi na ulazaji wa mabomba makubwa ya ugawaji maji na ulazaji maji wa mabomba ya usambazaji maji mtaani yatakayokuwa na urefu wa jumla ya kilometa zipatazo 477.  


Maeneo yatakayo nufaika na mradi huu ni pamoja na Salasala, Bunju, Wazo, Makongo, Changanyikeni, Bagamoyo, Mpiji, Zinga, Kitope, Ukuni, Kerenge, Buma, Mataya na ukanda maalum wa EPZA ambayo ni maeneo yanayo hudumiwa na mtambo wa Ruvu chini. Ambayo ni maeneo mengine yatakayo nufaika na mradi huu ni yale yaliyopo kati ya Mbezi luisi na kiluvya, ambayo ni Kiluvya, Kibamba, Mbezi, Msakuzi, Makabe, Malamba mawili na Msigani. Maeneo haya huhudumiwa na mtambo wa ruvu juu ambao ulizinduliwa na mh,Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Juni 21,2017.

Lengo la mradi huu ni pamoja na kuhakikisha kuwa wananchi wa kawaida , wenye viwanda na biashara katika eneo lote la mradi wanapata huduma bora za Maji hasa baada ya maji kuongezeka kufuatia kukamilika kwa upanuzi wa mitambo ya maji ya Ruvu juu na Ruvu chini. Lengo lengine ni kuweka mitandao ya maji katika maeneo mengine ambayo hayakuwa na mtandao rasmi wa maji, kwa kufanya hivi mradi utawezesha maji yagawanywe kwa urahisi na uwiano zaidi.

Ili kudhibiti upotevu wa maji, mita maalum zitafungwa katika maeneo ya kupokea maji na katika matoleo ili kujuwa kiasi kamili cha maji kilicho ingia katika eneo husika na kiasi cha maji  moja kwa moja ofisi za (DAWASCO) ambapo vifaa maalum vitafungwa na itakuwa rahisi kujuwa ni wapi maji yanapotea na hivyo kuyadhibiti moja kwa moja.


Mradi huu unatekelezwa kwa gharama ya dola za kimarekani Milioni 32,927,222,45 kupitia mkopo wa masharti nafuu kutoka serikali ya India. 

Mh.waziri Lwenge akiwa katika zoezi la kukaguwa miradi ya maji ya Dawasa katika eneo la Kibamba jijini Dar es salaam.


Hivyo makala MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI

yaani makala yote MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/michuzi-tv-waziri-lwenge-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MICHUZI TV: WAZIRI LWENGE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YA DAWASA, DAR NA PWANI"

Post a Comment