MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA

MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA
kiungo : MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA

soma pia


MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA

NA TIGANYA VINCENT,RS TABORA.

UZALISHAJI na ubora wa tumbaku msimu ujao wa kilimo unaweza kushuka baada ya mbolea ya kukuzia zao hilo kuchewewa kuwafikia wakulima hadi hivi sasa.Kauli hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Adam Malunkwi kwa niaba ya Madiwani wenzake wakati wa kikao cha Baraza hilo.

Alisema hadi hivi sasa mbolea ya aina ya N.P.K bado hajifika kwa wakulima wakati msimu wa mvua umeshakaribia kuanza jambo linalotishia ubora na uzalishaji.Malunkwi alisema kitendo hicho sio tu kitamwathiri mkulima pekee pia mapato ya Halmashauri ya Urambo yataathirika kwa sababu sehemu kubwa inategemea tumbaku ili kupata mapato ya ndani kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo.

Alisema kwa mujibu wa taarifa za Mzabuni ambayo amepewa jukumu la kusambaza mbolea kwa wakulima wa tumbaku, meli iliyobeba mbolea hiyo itawasili nchini tarehe 11 mwezi huu na inaweza kuchukua wiki mbili na kendelea kuwafikia wakulima jambo ambalo litafanya mazao ya wakulima yapitwe na wakati.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Magreth Nakainga akitioa ufafanuzi kwa Madiwani wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani kilichokuwa kikipitia taarifa utekelezaji kwa kila Kata wilayani humo jana.
4a
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Adam Malunkwi akifungua kikao cha Baraza la Madiwani cha kupitia taarifa za utekelezaji wa kila Kata wilayani Urambo jana.
A
Mbunge wa Jimbo la Urambo Magreth Sitta  akichangia taarifa ya utekelezaji wa kila Kata wilayani Urambo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Urambo jana.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>


Hivyo makala MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA

yaani makala yote MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/madiwani-urambo-waiomba-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MADIWANI URAMBO WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI TATIZO LA MBOLEA YA TUMBAKU KUCHELEWA"

Post a Comment