MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA

MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA
kiungo : MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA

soma pia


MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA

 
 Mstaiki Meya Manispaa ya Ilala Charles Kuyeko(Kushoto), Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Jumanne SHAURI(katikati), Pamoja na Katibu tawala wa Manispaa hiyo Sheila Edward (kulia).
 
BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Ilala  jijini Dar es Salaam,wamelalamikia  Wakala wa Barabara TARURA Katika  Manispaa hiyo kwa kushindwa kuwashirikisha Katika ujenziU ama Ukarabati wa Barabara katija kata.
Madiwani wa Ilala  wametoa malalamiko hayo leo katika kikao cha baraza la nadiwani ambapo Diwani wa kata ya Upanga Mashariki  Sultan Salim aliwasilisha malalamiko yake na kusema kuwa katika barabara za Mtaa wa Ismani Makao Makuu Jeshi na Urambo   hazijakarabatiwa mpaka Sasa Jambo ambalo limekuwa Kero kwa wananchi.
" Sisi kama madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Ilala  tunawataka TARURA watushirikishe wanapokuwa  kujenga barabara katika kata zetu Kwani wananchi wanatupa lawama kutokana na  utendajii katika barabara za wananchi wetu mfano katika eneo la makao makuu ya Jeshi utekelezaji unasua sua "amesema Sultan.
Amesema toka serikali kuikabidhi TARURA shughuli za barabara utekelezaji wake  ndani ya manispaa ya Ilala umekuwa haufanyiki kwa wakati na hata Barabara nyingine kutojengwa kabisa.
Kwa upande wake  Meneja wa Wakala wa Barabara    TARURA Mhandisi Samwel  Ndoven amesema Manispaa ya Ilala wametenga shilingi bilioni 6.2 katika bajeti ya mwaka 2018 hadi 2019 kwa ajili ya Ujenzi wa Barabara .
Aidha Amesema ipo changamoto ya uhaba wa fedha zulizotengwa Jambo linalopelea kuwepo kwa Barabara nyingine zisizokarabatiwa.
Amesema wameanzisha mfumo ambao utaweza kuonyesha idadi ya barabara na gharama zake na kwamba mfumo huo umeshaanza kazi hivi karibuni Jambo litakalosaidiaa kugundua ni gharama kiasi gani kitumike Pamoja na Barabara zipi Bado.
Amesema Miradi ya Barabara itakayosimamiwa ya kuchonga barabara mbalimbali km 70  ambapo alitaja barabara zilizopo katika mpango huo ni Kitunda,Mwanagati,Kwampalange ,Tabata,Mawenzi,Kisiwani,Chanika,Msumbiji,Nzasa.
Barabara nyingine ni Kibeberu,Magore ,Kisukuru Makoka,Pugu Majohe ,Mondole,Kitunda ,Kipera,Bonyokwa ,Kisukuru,Kimanga Tasaf,Kivule ,Kinyerezi na Zimbili




Baadhi ya madiwa wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.
Naibu Meya Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza Katika kikao Cha Madiwani Leo.
Mwanasheria Mkuu we Wakala wa Barabara TARURA Manispaa ya Ilala , Bonaventure Mwambata akizungumza.



Baadhi ya Madiwani wa Manispaa hiyo.


Hivyo makala MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA

yaani makala yote MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/madiwani-ilala-walia-na-tarura.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADIWANI ILALA WALIA NA TARURA"

Post a Comment