Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari.

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari.
kiungo : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari.

soma pia


Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akiagana na  Balozi wa Mauritius nchini Tanzania Mhe. Jean Pierre Jhumun mwenye makazi yake mjini Maputo,Msumbiji aliyeongozana na Wawekezaji wa Uzalishaji Sukari ambao wameonyesha utayari wa kuwekeza nchini Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akiagana na  Balozi wa Mauritius nchini Tanzania Mhe. Jean Pierre Jhumun mwenye makazi yake mjini Maputo,Msumbiji mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwake Ikulu jijini Dar Es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akiwa kwenye picha ya pamoja na  Balozi wa Mauritius nchini Tanzania Mhe. Jean Pierre Jhumun mwenye makazi yake mjini Maputo,Msumbiji , Wawekezaji wa Uzalishaji Sukari na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Profesa Godius Kahyarara naMkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPFBw.William Erio .(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Na. Mwandishi OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Mauritius nchini Tanzania Mhe. Jean Pierre Jhumun mwenye makazi yake mjini Maputo,Msumbiji aliyeongozana na Wawekezaji wa Uzalishaji Sukari ambao wameonyesha nia na utayari wa kuwekeza nchini.
Mbali ya ujumbe kutoka Mauritius, wengine waliohudhuria mazungumzo hayo ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Profesa Godius Kahyarara na Mkurugenzi Mkuu wa Mfukowa Pensheni wa PPFBw.William Erio .
Katika mazungumzo hayo  Makamu wa Rais amewahakikishia wawekezaji hao ushirikiano wa Serikali na kuwaeleza kuwa Tanzania ina mazingira bora ya uwekezaji.
Mbali ya fursa ya uwekezaji katika Sukari, Makamu wa Rais aliainisha maeneo mengine ya kuwekeza kama vile viwanda na TEHAMA.
Aidha alisema pindi uwekezaji huo ukifanikiwa , Tanzania itafaidika na soko la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na masoko mengine duniani kwa ujumla.

Uwekezaji huu utakuwa wa Ubia kati mashirika ya hifadhi ya mifuko ya jamii na pia kampuni nyingine za wazawa.


Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari.

yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Khe Samia Suluhu Akutana na Balozi wa Mauritius Hapa Nchini na Wawekezaji wa Sukari."

Post a Comment