UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA

UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA
kiungo : UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA

soma pia


UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA

 tasma
Uchahuzi Mkuu wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA utafanyika Agosti 10, mwaka huu mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi), Ramadhani Mambosasa ametangaza orodha ya majina sita ya mwisho ya wagombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo.
Kwa mujibu Mambosasa, wagombea hao kwa sasa hawana budi kuendelea na kampeni hadi Agosti 9, mwaka huu.
Waliopitishwa katika orodha ya mwisho kuwania nafasi mbalimbali za uongozi – ngazi ya taifa ni pamoja na Kidao Wilfred, Lister Manyara, Michael Bundala, Dismas Haonga, Jamhuri Kihwelo, George Komba, Samuel Moja na Maka Mwalwasi na Mohammed Tajdin.
Nafasi zinazowaniwa ni Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi, Mweka Hazina, Wajumbe wa Mkutano Mkuu TFF na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.


Hivyo makala UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA

yaani makala yote UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/uchaguzi-mkuu-tafca-kufanyika-agosti-10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UCHAGUZI MKUU TAFCA KUFANYIKA AGOSTI 10, 2017 MJINI DODOMA"

Post a Comment