title : Mafunzo juu ya matumizi ya mashine za kielektroniki yafanyika kisiwani Pemba
kiungo : Mafunzo juu ya matumizi ya mashine za kielektroniki yafanyika kisiwani Pemba
Mafunzo juu ya matumizi ya mashine za kielektroniki yafanyika kisiwani Pemba
Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla akifungua mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na mamlaka ya mapato ZRB kuhusiana na matumizi ya mashine za elekroniki
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na Wakuu wa Wilaya za Pemba,Wakurugenzi wa Mabaraza ya mji pamoja na wakurugenzi wa halmashauri za Pemba katika mafunzo ya matumizi ya mashine za kielektroniki katika ukumbi wa ZSSF Chake Chake Pemba
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni akichangia mada katika mafunzo yaliyoandaliwa na ZRB namna ya utumiaji wa mashine za kielektroniki
Wakuu wa vikosi vya Idara Maalum za SMZ wakimsikiliza Kamishna wa ZRB katika mafunzo ya utumiaji wa mashine za kielektroniki (EFD) ambazo zinatarajiwa kutumika hivi karibuni, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa ZSSF Chake Chake Pemba
Wakuu wa vikosi vya Idara Maalum za SMZ wakimsikiliza Kamishna wa ZRB katika mafunzo ya utumiaji wa mashine za kielektroniki (EFD) ambazo zinatarajiwa kutumika hivi karibuni, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa ZSSF Chake Chake Pemba
Picha na Said Abdulrahman , Pemba
Hivyo makala Mafunzo juu ya matumizi ya mashine za kielektroniki yafanyika kisiwani Pemba
yaani makala yote Mafunzo juu ya matumizi ya mashine za kielektroniki yafanyika kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo juu ya matumizi ya mashine za kielektroniki yafanyika kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mafunzo-juu-ya-matumizi-ya-mashine-za.html
0 Response to "Mafunzo juu ya matumizi ya mashine za kielektroniki yafanyika kisiwani Pemba"
Post a Comment