title : IDARA YA UTALII YAMTAKIA MAISHA MAPYA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA YA UTALII, BI.UZEELI KIANGI BAADA YA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA
kiungo : IDARA YA UTALII YAMTAKIA MAISHA MAPYA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA YA UTALII, BI.UZEELI KIANGI BAADA YA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA
IDARA YA UTALII YAMTAKIA MAISHA MAPYA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA YA UTALII, BI.UZEELI KIANGI BAADA YA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA
Kaimu Mkurugenzi wa Idara Utalii, Bw. Deograsius Mdamu (kushoto) akimkabidhi moja ya zawadi ya saa ya mezani yenye picha ya aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ya kumuaga baada ya kustaafu mapema mwezi Julai mwaka huu kwa mujibu wa Sheria ya utumishi wa Umma.
Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi akiwa na Afisa Utalii, Nina Kisando (katikati) wakiwa wanatabasamu huku wakionesha moja ya zawadi ya saa ya mezani yenye picha ya Bi. Kiangi aliyokabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki baada ya kustaafu mapema mwezi Julai mwaka huu kwa mujibu wa Sheria ya utumishi wa Umma. Kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Bw. Deograsius Mdamu.
Baadhi ya Watumishi wa Idara ya Utalii wakimsikiliza aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi akizungumza katika hafla ya kustaafu kwake kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma.
Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi ( wa pili kushoto) akisindikizwa na baadhi ya Watumishi wa Idara ya Utalii mara baada ya hafla ya kustaafu kwake kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala IDARA YA UTALII YAMTAKIA MAISHA MAPYA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA YA UTALII, BI.UZEELI KIANGI BAADA YA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA
yaani makala yote IDARA YA UTALII YAMTAKIA MAISHA MAPYA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA YA UTALII, BI.UZEELI KIANGI BAADA YA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IDARA YA UTALII YAMTAKIA MAISHA MAPYA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA YA UTALII, BI.UZEELI KIANGI BAADA YA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/idara-ya-utalii-yamtakia-maisha-mapya.html
0 Response to "IDARA YA UTALII YAMTAKIA MAISHA MAPYA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA YA UTALII, BI.UZEELI KIANGI BAADA YA KUSTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA"
Post a Comment