title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungungumza na Mbunge wa Urambo Tabora, Magreth Sitta, nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Korogwe Vijijini, Joseph Ngonyani(Maji Marefu) nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Prosper Mbena, nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibamba, John Mnyika kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa Manispaa ya Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe, kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA"
Post a Comment