RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO

RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO
kiungo : RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO

soma pia


RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO


Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amegawa vifaa vya michezo kwa timu za jimbo hilo zinazoshiriki mashindano ya kombe la Mazingira linaloshirikisha timu za wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.

Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo Ridhiwani, amesema kuwa atawapatia washindi wa pili wa michuano hiyo pikipiki ya miguu miwili na jezi kwa timu zote tatu za juu.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga,ambaye pia ndio muaandaji wa mashindano hayo ametoa zawadi ya pikipiki ya Toyo ya miguu mitatu kwa mshindi wa kwanza ili itumike kwa shughuli za kuwaingizia kipato kwa vijana.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mchezaji anayeshiriki katika mashindano ya Kombe la Mazingira,yaliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na wabunge.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, akitoa vifaa kwa washiriki wa mashindano ya Kombe la Mazingira,yaliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na wabunge.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, akitoa vifaa kwa washiriki wa mashindano ya Kombe la Mazingira,yaliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na wabunge.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete wa tatu kutoka kulia akiwa na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo wa pili toka kulia Majid Mwanga wakiangalia mashindano ya Kombe la Mazingira,yaliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na wabunge.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga akionyesha moja ya jezi zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la chalinze Ridhiwani Kikwete.


Hivyo makala RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO

yaani makala yote RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ridhiwani-atoa-vifaa-vya-michezo-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYO"

Post a Comment