title : LUKUVI AWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MATAPELI WA NYARAKA ZA UMILIKI ARDHI.
kiungo : LUKUVI AWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MATAPELI WA NYARAKA ZA UMILIKI ARDHI.
LUKUVI AWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MATAPELI WA NYARAKA ZA UMILIKI ARDHI.
………………..
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi, amekutana na wakazi wa Wilaya ya Temeke na Kigamboni katika kusikiliza na kutatua kero za Sekta ya ardhi. Katika mahojiano na wananchi hao, Mhe. Lukuvi amewaonya wananchi kuwa makini na matapeli wanaochukua nyaraka halali za umiliki na kutengeza nyaraka feki.
Hayo yamebainika baada ya baadhi ya wananchi kulalamikia mmliki wa kampuni ya Holland Investment iliyopo jijini Dar es Salaam kwamba, amekuwa akichukua nyaraka halali za umiliki kwa wananchi kwa lengo la kuwasaidia na baadae kuwabadilishia na kuwarudishia nyaraka feki.
Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hivyo makala LUKUVI AWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MATAPELI WA NYARAKA ZA UMILIKI ARDHI.
yaani makala yote LUKUVI AWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MATAPELI WA NYARAKA ZA UMILIKI ARDHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LUKUVI AWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MATAPELI WA NYARAKA ZA UMILIKI ARDHI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/lukuvi-awatahadharisha-wananchi-kuhusu.html
0 Response to "LUKUVI AWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MATAPELI WA NYARAKA ZA UMILIKI ARDHI."
Post a Comment