MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG

MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG
kiungo : MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG

soma pia


MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG


Marehemu Prof. Nagu alikuwa Mhadhiri ktk chuo kikuu Mzumbe. Marehemu pia ni mume wa Mbunge wa Hanang- Mhe. Mary Nagu ambaye pia alikuwa Waziri katika serikali ya awamu ya tatu na ya nne. Marehemu Prof. Nagu ni baba wa Dr. Tumaini, Neema na Deogratias. 

Tunapenda kuwajulisha kuwa Marehemu atapumzishwa katika nyumba yake ya milele nyumbani kwake Endasaki Wilaya ya Hanang siku ya Alhamisi tarehe 3/8/2017 

leo saa kumi jioni kutakuwa na Ibada ya kumuaga Marehemu katika kanisa katoliki St Peters, kisha mwili utaenda kulala nyumbani kwake Regent Estate Mikocheni tayari kusafirishwa siku ya tarehe 02/07/2017 kuelekea Manyara, Hanang', Kijiji cha Endasaki. 

Raha ya milele umpe ee Bwanana na mwanga wa milele umwangazie.

Apumzike kwa Amani Mzee wetu Prof Joseph Nagu.


Hivyo makala MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG

yaani makala yote MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/marehemu-prof-nagu-kuzikwa-alhamisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAREHEMU PROF NAGU KUZIKWA ALHAMISI NYUMBANI KWAKE ENDASAKI,WILAYANI HANANG"

Post a Comment