TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA

TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA
kiungo : TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA

soma pia


TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA



Image result for picha ya nembo ya tff

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeita semina ya siku moja kwa Madaktari wa timu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itakayofanyika Ijumaa Agosti 4, mwaka huu kuanzia saa 2.00 asubuhi kwenye Ukumbi wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Kanuni ya 73 ya Ligi Kuu, kila klabu ya Ligi Kuu inatakiwa kuwa na daktari wa timu ambaye pamoja na mambo mengine atahakiki afya za wachezaji na viongozi wa timu.
Kila klabu inatakiwa kuhakikisha daktari wake anahudhuria semina hii muhimu itakayoendeshwa na Kamati ya Tiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake Dkt. Paul Marealle.

Bodi ya Ligi itagharamia nauli ya basi ya kuja na kurudi Dar es Salaam kwa kila mshiriki. Tunawatakia kila la kheri katika maandalizi ya ushiriki wa semina hiyo ambayo ni sehemu ya maandalizi ya Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2017/2018.


Hivyo makala TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA

yaani makala yote TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tff-yatangaza-semina-ya-madaktari-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFF YATANGAZA SEMINA YA MADAKTARI WA TIMU ZA LIGI KUU BARA"

Post a Comment