WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA
kiungo : WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

soma pia


WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya taifa (NIDA) linaloendelea mkaoni humo. Wito huo umetolewa na Afisa Tawala Wilaya ya Bariadi ndg. Rutaihnwa Albert ambaye pia amewataka watendaji wa Kata pamoja na wasimamizi kuweka utaratibu mzuri wa wananchi Kusajiliwa pindi wanapofika kwenye vituo vya Usajili.

Aidha wananchi wametakiwa kufika kwenye vituo vya usajili wakiwa na nakala (photocopy) ya viambatisho vyao muhimu vinavyo hitajika kuwasajili ambavyo ni Cheti cha Kuzaliwa, Pasi ya Kusafiria (Passport), Vyeti vya Elimu ya Msingi na Sekondari, Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha Bima ya Afya, Nambari ya Mlipa Kodi (TIN No.) na Kitambulisho cha Mpiga kura pamoja na kuzingatia taratibu za usajili pindi wanapokuwa kwenye vituo.

Zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa sasa linaendelea katika mikao 15(kumi na tano ya Tanzania) ambapo kwa mkoa wa Simiyu zoezi linaendelea kwa Kata za Senani, Mwamanenge na Ipililo.
Wananchi mkoani Simiyu wakiwa katika foleni kusubiri kuchukuliwa alama za kibaiolojia baada ya kukamilisha zoezi la kujaza fomu za maombi ya Kitambulisho cha Taifa.
Mwananchi wa kijiji cha Ditima akiwa katika meza ya Mwenyekiti wa Mtaa akisubiri fomu yake kukaguliwa na kusainiwa ili aweze kwenda kuchukuliwa alama za kibaiolojia zinazojumuisha kupigwa picha, kuweka saini na kuchukuliwa alama za viganja(finger print).
Mmoja wa wananchi akijaza fomu ya maombi ya Kitambulisho cha Taifa wakati Mwenyekiti wa mtaa wa Ditima akichambua fomu walizojaza wananchi na kuwapatia ili wakashiriki katika hatua ya pili ya Usajili ikiwa ni kuchukuliwa alama za kibaiolojia.


Hivyo makala WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

yaani makala yote WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/wananchi-mkoani-simiyu-watakiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA"

Post a Comment