title : Kilimo Cha Matango Kilivyoshamiri Kisiwani Pemba.
kiungo : Kilimo Cha Matango Kilivyoshamiri Kisiwani Pemba.
Kilimo Cha Matango Kilivyoshamiri Kisiwani Pemba.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Tumaini iliopo Vitingoji wilaya ya Chakecheke kisiwani Pemba, Mohamed Abdllah Khamis ‘song” akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali, waliofika kwenye ushirika huo, kuangalia maendeleo na changamoto zinawazokabili
Mwenyekiti wa Jumuia ya Tumaini, iliopo Vitongoji wilaya ya Chakechake kisiwani Pemba, Mohamed Abdalla Khamis ‘song’ akiwa na vitango vyao ambavyo kwa sasa wamedai kukosa wateja na huwenda wakala hasara kubwa, iwapo vitango vyao zaidi ya 700 havikununuliwa
Hivyo makala Kilimo Cha Matango Kilivyoshamiri Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Kilimo Cha Matango Kilivyoshamiri Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kilimo Cha Matango Kilivyoshamiri Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kilimo-cha-matango-kilivyoshamiri.html
0 Response to "Kilimo Cha Matango Kilivyoshamiri Kisiwani Pemba."
Post a Comment