Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao

Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao
kiungo : Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao

soma pia


Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel ( kulia) akipata maelekezo kutoka kwa Mkuu wa kituo cha Makumbusho cha Caravan Serai Bibi. Reinfrida Kapela (kushoto) namna ambavyo wanawake wa Mji wa Bagamoyo walivyokuwa na utamaduni wa kutengeneza urembo wa liwa kwa kutumia jiwe wakati wa ziara yake ya kikazi jana Mjini hapo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel ( kushoto) akieleza jambo wakati wa kikao na Maafisa Utamaduni na watendaji wa Mkoa wa Pwani katika ziara yake ya kikazi jana mkoani hapo lengo ikiwa ni kuwahamasisha maafisa hao kufanya kazi kwa kuzingatia utamaduni wa kutunza na kuheshimu muda ili kuleta matokeo chanya kwa jamii kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo.
Baadhi ya wajumbe wa kikao waliohudhuria kikao kazi wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel Jana Mkoani Pwani.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa kwanza kushoto) akimsikiliza Mkuu wa kituo cha Makumbusho cha Caravan Serai Bibi. Reinfrida Kapela (kulia) wakati wa ziara yake ya kikazi jana Mjini Bagamoyo, katikati ni Katibu Tawala Wilaya ya Bagamoyo Bibi. Erica Yegela.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Mkoa wa Pwani wakati wa ziara yake ya kikazi jana mkoani hapo.


Hivyo makala Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao

yaani makala yote Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/prof-elisante-awataka-maafisa-utamaduni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Prof. Elisante awataka Maafisa Utamaduni Mkoani Pwani kuzingatia na kuheshimu muda katika kutekeleza majukumu yao"

Post a Comment