title : KOREA KASKAZINI YAWACHIMBA MKWARA MAADUI ZAKE KWA KUONESHA SILAHA NZITO
kiungo : KOREA KASKAZINI YAWACHIMBA MKWARA MAADUI ZAKE KWA KUONESHA SILAHA NZITO
KOREA KASKAZINI YAWACHIMBA MKWARA MAADUI ZAKE KWA KUONESHA SILAHA NZITO
Korea Kaskazini imetoa onyo kwa maadui zake Jumamosi hii kwa kuonesha silaha zake mpya na nzito kwenye gwaride la kijeshi mbele ya kiongozi wake.
Pyongyang imeonesha silaha zake kadhaa kwa mara ya kwanza zikiwemo zile za kutumika chini ya maji.
Hiyo ni ishara kuwa inaweza kuishambulia Marekani au Ulaya bila shida.
Hatua hiyo imekuja katika kipindi ambacho Rais wa Marekani, Donald Trump amekuwa akitweet kuwa kama China haiwezi kukabiliana na mpango wa silaha za nyuklia wa Korea Kusini Marekani itainunua kesi.
Pia utawala wa nchi hiyo umeionya Marekani dhidi ya mashambulio yoyote inayopanga kufanya dhidi yake.
Gwaride hilo limefanyika kusherehekea miaka 105 ya kuzaliwa kwa babu yake Kim.
Kim anamshutumu Trump kulichokonoa taifa lake kijeshi kwa mfululizo wa nyendo za kibabe ikiwemo kutuma meli kubwa ya USS Carl Vinson kwenye peninsula ya Korea.
Hivyo makala KOREA KASKAZINI YAWACHIMBA MKWARA MAADUI ZAKE KWA KUONESHA SILAHA NZITO
yaani makala yote KOREA KASKAZINI YAWACHIMBA MKWARA MAADUI ZAKE KWA KUONESHA SILAHA NZITO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KOREA KASKAZINI YAWACHIMBA MKWARA MAADUI ZAKE KWA KUONESHA SILAHA NZITO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/korea-kaskazini-yawachimba-mkwara.html
0 Response to "KOREA KASKAZINI YAWACHIMBA MKWARA MAADUI ZAKE KWA KUONESHA SILAHA NZITO"
Post a Comment