Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar.

Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar.
kiungo : Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar.

soma pia


Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Mashindano ya Majeshi ya Michezo ya Afrika Mashariki na Kati mwaka huu yatafanyika Bujumbura Mjini Burundi kuanzia  Agost 20, 2017 ambapo timu za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litashiriki kwa michezo mitano ikiwemo mpira wa Miguu, mpira wa Kikapu, mpira wa Wavu, mpira wa Pete na Riadha.

Timu hizo za JWTZ zimeweka kambi Visiwani Zanzibar ambapo kambi hiyo inaendelea vizuri mpaka sasa huku wakipania kutwaa ubingwa.

Akizungumza na Mtandao huu Kanal Mwandike ambae ni Mkurugenzi wa Michezo wa JWTZ amesema kambi inaendelea vizuri Zanzibar na  wamepania kufanya kweli mwaka huu.

“Kambi inaendelea vizuri hapa Zanzibar na hakuna tatizo lolote mpaka sasa, tumeshacheza michezo mbali mabli ya kirafiki na timu zinaonesha kiwango cha hali ya juu kabisa, mwaka huu tumepania kufanya vyema kuliko mwaka jana, mbi ana mwaka jana tulishinda nafasi ya pili lakini mwaka huu tutakuwa wa kwanza”. Alisema Kanal Mwandike.


Hivyo makala Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar.

yaani makala yote Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kambi-ya-wanamichezo-majeshi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kambi ya Wanamichezo Majeshi wa Tanzania Yaendelea Vyema Kisiwani Zanzibar."

Post a Comment