Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.

soma pia


Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii katika  kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)  alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii katika  kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(wa pili kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii  Dkt.Suleiman Rashid Mohamed (kuklia) alipokuwa akisoama taarifa kwa niaba ya Bodi yake katika  kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Wajumbe wa Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF wakiwa katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hiafadhi ya Jamii chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu] 02/08/2017.


Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-zanzibar-dkshein-azungumza-na_2.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar."

Post a Comment