title : Dalala Lagonga Treni Morogoro Na Kuua Watu Kadhaa
kiungo : Dalala Lagonga Treni Morogoro Na Kuua Watu Kadhaa
Dalala Lagonga Treni Morogoro Na Kuua Watu Kadhaa
Watu ambao idadi yake haijaweza kufahamika mara moja, wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa, baada ya daladala waliyokuwa wakisafiria kugonga treni mkoani Morogoro.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Urich Matei, amesema ajali hiyo imetokea leo asubuhi na imehusisha gari aina ya daladala yenye amba za usajili T 438 ADR iliyokuwa inakwenda Mvumi kwenye njia panda inayoingilia treni ndipo ikagonga treni hiyo, na kuburuzwa takribani mita 200.
Kamanda Matei amesema chanzo cha ajali hiyo ni daladala kuingia kwenye njia ya treni bila kusimama ili kuangalia kama kuna treni inakuja, ndipo treni hiyo ikaburuza gari hiyo kwa umbali mrefu na kusababisha maafa hayo.
Idadi rasmi ya majeruhi bado haijafahamika rasmi mpaka sasa na majeruhi wamepelekwa hospitali ya mkoa wa Morogoro
Hivyo makala Dalala Lagonga Treni Morogoro Na Kuua Watu Kadhaa
yaani makala yote Dalala Lagonga Treni Morogoro Na Kuua Watu Kadhaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dalala Lagonga Treni Morogoro Na Kuua Watu Kadhaa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dalala-lagonga-treni-morogoro-na-kuua.html
0 Response to "Dalala Lagonga Treni Morogoro Na Kuua Watu Kadhaa"
Post a Comment