title : Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani
kiungo : Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma
Waziiri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sampuli mbalimbali za korosho katika wakati alipotembelea banda la Ushirika wa Ruangwa, Nachingwea Liwale Cooperative Union (RUNALI) Limited katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Julai 30, 2017. Kushoto kwake ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba na kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Convenant, Sabetha Mwambenja
Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa ikiongoza maandamano katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba (katikati) na Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mhe. Tate William Ole- Nasha baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma kuhutubia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma
Hivyo makala Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani
yaani makala yote Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-katika.html
0 Response to "Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani"
Post a Comment