SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAMkiungo :
SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM
SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM
 |
SHIRIKA la Posta na Simu chini ya uongozi mpya, imejinyakulia tuzo ya mshindi wa kwanza wa watoa huduma bora kutoka taasisi za umma na binafsi, zinazoshiriki maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, yaliyofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Julai 1, 2017. Maonesho hayo ya kila mwaka yameandaliwa na Mamlaka ya Uendelezaji Bishara Tanzania, (TAN Trade). Pichani juu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Deo Kwiyukwa, (katikati), akiwa amekamata tuzo hiyo pamoja na wafanyakazi wa shirika hilo kwenye banda lao. |
 |
Bw. Kwiyukwa (kushoto), akiwakabidhi tuzo hiyo wafanyakazi wenzake baada ya kupokea toka kwa Rais Magufuli. |
Wafanyaakzi wa Shirika la Posta Tanzania, wakiwahudumia wananchi waliotembelea banda la shirika hilo kwenye banda kuu la Jakaya Kikwete.
 |
Bw. Kwiyukwa, (Kushoto), akifurahia jambo na Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano na elimu kwa umma, wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Bi. Sara Kibonde Msika, (kulia), na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bi. Laura Kunenge. |
 |
Bw. Kwiyuka akipongezwa na Bi Laura Kunenge wa WCF, baada ya kutwaa tuzo hiyo |
Hivyo makala SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM
yaani makala yote SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/shirika-la-posta-laibuka-kidede-kwa.html
0 Response to "SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM"
Post a Comment