CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI.

CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI.
kiungo : CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI.

soma pia


CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI.


Na. John Luhende 
Mwambawahabari 
Chama cha Mapinduzi  Wilaya ya Ilala  katika kumuenzi hayati Baba wa Taifa  Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo  kimefanya  matembezi ya Kilomita tatu  yaliyoishia katika shule Sekondari Pugu .

 Aidha wanachamahao wameshiriki zoezi la kufanya usafi katika shule hiyo na katika nyumba aliyoishi Mwalimu Nyerere kuanzi mwaka 1952 hadi 1955, akizungumza  katika shuguli hiyo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma amewataka watanzania kumuenzi na kumuiga mwalimu Nyerere na kuyaishi maisha na matendo mema aliyoyatenda wakati wa uhai wake .

’’Watanzania tukimuiga  na kumuishi mwalimun  kama anavyofanya Rais wetu Dr John Pombe Magufuli nchi yetu itapigahatua kimaendeleo nawaomba watanzania na wanana ccm tumuenzi mwalimu kwa vitendo” alisema 
Kwaupande wake  katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Joyce Ibrahimu Mkaugala,amasema  wanaIlala wamejitolea  katika matembezi na kufanya usafi katika juma zima na wameonyesgha moyo wa umoja katika kumuenzi Mwalimu haya yote nikunesha kuwa Mwalimu alikuwa ni kiangozi wa mfano.

“Mwalimu alitaka kila mtu awajibike afanye kazi  alikemea sana uvivi akiaminin kuwa kazi ndiyo njia pekee ambayo inaweza kuleta maendeleo pia alikemea ubaguzi wa rangi na ukabila na sisi hapa tuna sisitiza sote tuwe na ummoja”alisema 

Naye mwalimu mkuu msaidizi wa shule hiyo Agelo Lwiza amewataka watanzania kumuenzi mwalimu Nyerere hasa katika nyumba alizoishi kuwekwevitabu alivyo vitunga na kuviandika mwalimu ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo














Hivyo makala CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI.

yaani makala yote CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/ccm-ilala-wamuenezi-mwalimu-nyerere-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CCM ILALA WAMUENEZI MWALIMU NYERERE KWA MATEMBEZI, NA KUFANYA USAFI NYUMBA ALIYOISHI."

Post a Comment