title : MRADI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA-KIBAHA UKIENDELEA
kiungo : MRADI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA-KIBAHA UKIENDELEA
MRADI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA-KIBAHA UKIENDELEA
Muonekano wa barabara ya Morogoro eneo la Kimara stop over jijini Dar es salaam hivi leo ambapo tayari Ujenzi wa Upanuzi wa barabara hiyo Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 unaendelea.Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari kutoka mawili mpaka nane,Mradi huo muhimu ukikamilika utasaidia kupunguza msongamano mkubwa wa Magari takribani 50,000 yanayopita katika barabara hiyo kila siku .Mradi huo utafanyika kwa miezi 30 kuanzia Julai 21,2018 ambapo utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 141.56 Fedha zote kutoka serikali ya Tanzania
Hivyo makala MRADI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA-KIBAHA UKIENDELEA
yaani makala yote MRADI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA-KIBAHA UKIENDELEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MRADI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA-KIBAHA UKIENDELEA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mradi-ujenzi-upanuzi-wa-barabara-ya.html
0 Response to "MRADI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA-KIBAHA UKIENDELEA"
Post a Comment