title : YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 1, 2017
kiungo : YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 1, 2017
YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 1, 2017
Serikali imesema itawachukulia hatua kali kwa wananchama wa vyama vya ushirika watakaobainika kutumia vibaya nafasi zao; https://youtu.be/EaFfpndBx5Y
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kuanza kutumia mufumo mpya ulioboreshwa wa ukusanyaji tozo kwa njia ya kieletroniki; https://youtu.be/2nJ6snIRTh0?t=1
Wadau wa elimu kutoka mtandao wa elimu Tanzania wakuutana jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kutoa elimu bora kwa watoto wa kike; https://youtu.be/lw08f-SnGCM
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA yaongeza muda wa kulipia kodi ya majengo kwa wadaiwa hadi July 15 mwaka huu. https://youtu.be/ii77cWnrRyM?t=1
Taasisi ya kupambana na rushwa Geita imemfikisha mahakamani aliyekuwa afisa ugavi wa halmashauri ya Geita kwa matumizi mabaya ya ofisi. http://simu.tv/rhGNKRg
Waziri Prof.Makame Mbarawa afanya ziara katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage https://youtu.be/VLPCE01p5Hc
Chama cha wafanyabiashara wa Ujerumani kinatarajia kufungua ofisi zake nchini Tanzania katika kudumuisha urafiki na wafanyabiashara nchini; https://youtu.be/4bnjMRR8ym4?t=1
Hivyo makala YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 1, 2017
yaani makala yote YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 1, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 1, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/yaliyojiri-katika-vituo-mbalimbali-vya.html
0 Response to "YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 1, 2017"
Post a Comment