Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba.

Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba.
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba.

soma pia


Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba.

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumz ana wananchi wa Chokocho na Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba kabla ya kukabidhiwa mashua mbili zenye thamani ya Milioni 27 za Kuvukia ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Dk Shein aliyoitoa kwa wananchi hao
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalumu za SMZ, Haji Omar Kheir akimkabidhi mashua mbili zenye thamani ya Milioni 27 Komodoo wa KM KM kanda ya Pemba, kwa ajili ya
kuwasafirisha wananchi wa CHOKOCHO NA Kisiwa Panza, kulia Mkuu wa Mkoa wa KUsini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla
WANANCHI wa Kisiwa Panza wakipanda katika amoja ya mashua zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein kwa wananchi Chokocho na Kisiwa Panza kwa ajili ya Kuvukia.
MASHUA mbili zenye thamani ya shilingi Milioni 27 zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati alipowatembelea wananchi wa Chokocho na Kisiwa Panza
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.)


Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-wa-zanzibar-dk-shein-akabidhi-boti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk Shein Akabidhi Boti 2,kwa Wananchi wa Kisiwa Panza na Chokocho Pemba."

Post a Comment