Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi

Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi
kiungo : Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi

soma pia


Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi

 Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akipokea hundi yenye thamani ya shilingi milioni 264 toka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya utafiti na uchimbaji wa mafuta ya Statoil bw.Oyotein Michelsen .Fedha hizo ni kwa ajili ya kambi za upasuaji wa mabusha na ngirikokoto kwa watu wapatao 400 kwa mwaka 2017 na 2018. Kulia ni Mkurugenzi wa Kinga toka Wizara ya Afya Dkt.Neema Rusibamayila ambapo Mpango wa Taifa wa kutokomeza Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele ndiye mratibu wa upasuaji huo
 Naibu Waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndugulile akihutubia wananchi waliofika kwenye uzinduzi wa upasuaji wa mabusha na ngirikokoto kwa wagonjwa wapatao 200 wa Manispaa ya Lindi
 Dkt.Faustine Ndugulile akipokea mashine ambayo ina kisu cha moto ambacho kinazuia damu wakati wa upasuaji kutoka kwa Mkurugenzi wa Statoil Bw.Oyotein Michelsen.  Kulia ni Mkurugenzi wa Kinga toka Wizara ya Afya Dkt.Neema Rusibamayila ambapo Mpango wa Taifa wa kutokomeza Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele ndiye mratibu wa upasuaji huo
 Mkurugenzi wa Statoil Bw.Oyotein Michelsen akisoma hotuba kwenye ufunguzi wa kambi ya upasuaji inayofanyila kwenye hospitali ya rufaa ya Mkoa Sokoine mkoani Lindi
Baadhi ya wananchi wanaotarajia kufanyiwa upasuaji wa magonjwa hayo


Hivyo makala Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi

yaani makala yote Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/dktndugulile-afungua-kambi-ya-upasuaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Dkt.Ndugulile afungua kambi ya upasuaji Mabusha mkoani Lindi"

Post a Comment