title : WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI PIKIPIKI KWA TASISI YA IOGT INAYOJIHUSISHA NA MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA
kiungo : WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI PIKIPIKI KWA TASISI YA IOGT INAYOJIHUSISHA NA MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA
WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI PIKIPIKI KWA TASISI YA IOGT INAYOJIHUSISHA NA MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe.Jenista Mhagama, akizungumza wakati wa kukabidhi Pikipiki kwa Tasisi ianyojiusisha na kutoa eleimu juu ya Mapambano ya Dawa za kulevya ya IOGTkatika ofisi za Kamishna wa Mamlaka ya kupambana na Dawa .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe.Jenista Mhagama, akikabidhi Pikipiki kwa kiongozi wa IOGT Taifa Wellngton Kyumba katika ofisi za Mamala ya kupambana na Dawa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe.Jenista Mhagama, akisalimiana na Vijana wa IOGT Waliofika katika hafla ya kukabidhiw apikipiki katika ofisi za Mamlaka ya Dawa jijini Dar es Salaam
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kupambana na Dawa nchini,Rogers Siang'a akisalimiana na kiongozi wa IOGT Taifa Wellngton Kyumba katika ofisi za Mamala ya kupambana na Dawa jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi waliopata mafunzo ya Dawa za Kulevya wakieleza madhara ya dawa hizo mbele ya Waziri Jenista Mhagama
Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI PIKIPIKI KWA TASISI YA IOGT INAYOJIHUSISHA NA MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA
yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI PIKIPIKI KWA TASISI YA IOGT INAYOJIHUSISHA NA MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI PIKIPIKI KWA TASISI YA IOGT INAYOJIHUSISHA NA MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-mhagama-akabidhi-pikipiki-kwa.html
0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI PIKIPIKI KWA TASISI YA IOGT INAYOJIHUSISHA NA MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA"
Post a Comment