NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA

NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA
kiungo : NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA

soma pia


NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri katika jiji la Dar es Salaam ndani ya siku 20 kusiwepo nyumba za wageni pamoja na kumbi za starehe katika maeneo yanayozunguka shule.

Makonda ameyasema hayo wakati akizungumza na wakuu wa shule za sekondari na Msingi uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam. ambapo amesema kuwa  shule ni kwa ajili ya kutoa elimu hivyo kuwepo kwa vitu hivyo vinafanya kuhalibu na kuwahadaa wanafunzi.

Amesema kuwa maeneo yote ya shule yapimwe ili kusiwepo kwa mazingira ya kuweza watu kufanya kujenga maeneo hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na maafisa elimu, waalimu wakuu shule za sekondari na msingi leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa akizungumza na katika Mkutano wa Walimu Wakuu Shule za Sekondari na Msingi leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Shule Kisarawe 11, Elieshi Emmanuel akizungumza katika Mkutano wa Wakuu wa Shule juu.
Mkutano ukiendelea.picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii


Hivyo makala NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA

yaani makala yote NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/nyumba-za-kulala-wageni-pamoja-na-kumbi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NYUMBA ZA KULALA WAGENI PAMOJA NA KUMBI ZA STAREHE ZILIZO KARIBU NA MAENEO SHULE ZIVUNJWE - RC MAKONDA"

Post a Comment