title : RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI
kiungo : RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI
RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhW29CLWyNCvAdXfvSQbuUN-F0DxfEvruIIzjTmrLkFxGGfIFaLmuNgnayR9M_k6vcjICQ5WVH9QzssxeO49oBSWZ5hg66UMSZ5jkVZ5swusz0ovSHuG_20iQCD6s3Nb4udlOu1H_ojsEBh/s640/AG1-768x584.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora jana.
Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Erick Kitwala akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora jana.
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Kizigo Kata ya Ng’ambo mkoani Tabora, Bw. Said Thabit Mnwagi akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kulia),wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora jana.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Komanya Erick Kitwala na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora Joseph Kashushura.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukubi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo jana.(Picha na Frank Shija – MAELEZO, Tabora)
Hivyo makala RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI
yaani makala yote RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rc-tabora-awaonya-wavamizi-wa-ardhi.html
0 Response to "RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI"
Post a Comment