NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama

NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama
kiungo : NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama

soma pia


NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama






Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya benki hiyo mjini Kahama, Shinyanga jana. Klabu hiyo imeanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Katikati ni mmoja wa wateja, Salum Selemani na Joshua John (kulia), Ofisa Masoko wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) kutoka ofisi ya Mwanza.

Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa mjini Kahama, katika semina iliyoandaliwa kabla ya uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC hiyo iliyoanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Hafla ya uzinduzi ilifanyika mjiini Kahama, Shinyanga jana.

Meneja wa Kanda wa NBC, Daudi Mfalla (kulia), akizungumza wakati akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC iliyoanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashara wadogo na wakati wa NBC, Evance Luhimbo.

Baadhi ya wateja wa NBC mjini Kahama waliohudhuria uzinduzi wa B-Club ya benki hiyo, wakijipiga picha ‘selfie’ pamoja na bango lenye picha inayoonyesha kilele cha Mlima Kilimanjaro ikiwa ni baadhi ya shamrashara zilizopamba uzinduzi huo.

Wafanyakazi wa NBC tawi la Kahama wakipozi kwa katika hafla hiyo.

Wasanii wakionyesha umahiri wao kucheza ngoma ya kadete ya kabila la wasukuma katika hafla ya uzinduzi wa B-Club mjini Kahama, Shinyanga jana.


Hivyo makala NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama

yaani makala yote NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/nbc-yazindua-klabu-ya-biashara-mjini_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NBC Yazindua Klabu ya Biashara mjini Kahama"

Post a Comment