Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi

Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi
kiungo : Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi

soma pia


Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi

 Kreni kubwa ambalo limeanza kufanya kazi kulikarabati jengo la Beit Al Ajaib likionekana kwenye picha na kusababisha msururu wa foleni ya magari katika eneo la mji mkongwe leo.
Hii ni sehemu ya foleni kubwa iliyosababishwa na kuanza kwa ujenzi na ukarabati wa jengo la Beit Al Ajaib katika mji mkongwe.


Na Mkaazi wa mji Mkongwe

Kuna maamuzi yanafanyika unashangaa nini malengo yake mbali na kuwaongezea kadhia wakaazi wa Mji Mkongwe? Hii ndio busara inayotawala.

Njia zote zilizokuwa zikitumika Mji Mkongwe zimefungwa (sasa zote ni njia moja - one way) wakati barabara iliyopo ni nyembamba, kuna matengenezo kibao, kuna Gati, kuna Forodhani, kuna wageni, na kuna soko la samaki. 

Safari ya dakika tano sasa inaweza kukuchukua masaa mawili. 

Sasa ujenzi Jumba la Ajabu umeanza. Leo kuna hilo crane linabanjua sehemu ya Varanda. Likiwa kazini gari zote zimesimamishwa. 

Wakaazi wa Mji Mkongwe tuendelee tu na hali hii ya kupotezewa muda katika foleni zinazoepukika? 

Utendaji na maamuzi ya aina haya yana tija gani kwa wakaazi na watumiaji wa barabara?

baraza la Manispaa halikuwa na mpango maalum wa kushughulikia tatizo hili la foleni wakati wanajua kwamba ujenzi wa Jengo la Ajabu unaanza?


Kama unakaa maeneo ya Shangani, Forodhani, Kiponda, Malindi...huepukani na hali hii kwa vile lazima uzunguke Malindi utadima tu katika foleni na haitabiriki wakati gani njia utakuwa afadhali. 

Omba usikutane na meli za Dar na Pemba pia hali huwa mbaya zaidi.

Chondechonde jamani na sisi wakaazi wa mji Mongwe tunastahiki kuangaliwa tuna haki zetu kama wakaazi wa mji mkongwe, Jamani busara itumike.


Hivyo makala Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi

yaani makala yote Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/foleni-mji-mkongwe-kero-kwa-wakaazi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Foleni Mji Mkongwe kero kwa Wakaazi"

Post a Comment